Hecko mwalimu wetu, baraka twakumiminia

Shangwe na vigelegele, Furaha mpwitompwitoWangeni wetu karibuni, Mstarehe bila wasiwasiTwasherehekeha mwalimu wetu, kweli amutupa ushindi,Hecko mwalimu wetu, Baraka twakumiminia. Shukrani twatoa kwa mola, Mwalimu wetu aliyetupakwako wewe twajifunia, milele ta kukumbukaIjapokuwa twakuaga, Mioyoni mwetu hutoki,Hecko mwalimu wetu, Baraka twakumiminia. Kwa wingi hukosi maarifa, kwa sifa wafahamika,Ulitusomeshaaa, Ulituelekeza,Ukaturekebisha, Ukitufaamisha,NaaaaaaaUkatuhamasisha!….. ukituchekesha,Hecko mwalimu Read more…